Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka ka-Pedro wkaangalie sana
Huyo Del Bosque kwa nini alimlazimisha Iniesta kucheza wkati ni majeruhi? Kwa nini asingemuanzisha Fabrigas
Fabregas atacheza wapi wakati wakina Masanilo hawaachi majungu kwa wachezaji wa Arsenal kila siku.
Wa Swiss wame wa-surprise Spain big time ,kama wamarekani walivyofanyia.
Huyo Del Bosque kwa nini alimlazimisha Iniesta kucheza wkati ni majeruhi? Kwa nini asingemuanzisha Fabrigas
AW, tutampata tu bingwa wa dunia katika kandanda, lakini katika raundi hii ni mapema sana kuweza kujua ni timu gani itakuwa mabingwa. Hao Spain wamejiweka katika wakati mgumu ili kuweza kusonga mbele.
bado huyo akienda rasmi ndio tutamzungumzia kuwa ni wa barcelona.Mchezaji wa Barca huyo!