World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Wasauzi walianza kuimba imba kule kwene tunnel,they r really annoying and irritating.
 
duh...sasa mguu wa nani hapo uko higher...huyu refa anataka kutuletea balaa
 
Haya Mavuvuzela very annoying kwa kweli kama sisi watazamaji wa luninga tunayasikia hivi walioko uwanjani je? Imagine umekaa nao jirania hawa si raha ya mpira inaisha kabisa?
 
All the best to SA Squad!..Mavuvuzela yote kwa ajili yao,wakifungwa patatuliaa uwanjani!
 
yaani mpaka sasa hawajafanya shambulizi zaidi ya sasa kupiga juu tu
 
Huyu Tshabalala anaharibu move za wenzie anabutuabutua tu to afunge mechi ya kwanza anadhani atakuwa anafunga tu
 
Back
Top Bottom