World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Kuna dalili za wasauz kuishia makundi mnasemaje wakuu? Manake hawana effort kabisaaa
 
duh kama utani vile...0-1 down....haya wale waliokuwa wanalaumu jabulani wakajifunze technic kwa forlan......
 
Sauz hawaendi mabli hawa move zote zinaishia kwa mabeki
 
Napenda Sa wanavocheza at least ktk timu za Africa so far ndo wenye afadhali ila ilionekana tu Uruguay watapata goli..
@Rayb...lol na wewe wa kandete mwakaleli nn...hahahaaaa
 
Back
Top Bottom