Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Mkuu hua tena? Ile kiungo liyotoka ilikuwa inashikilia pale kati kidogo huyu aliyeingia sufuri zaidi
hata wewe ume-give up? bado dakika 19 nyingi sana .Mie siangalii tena kwa TV hii mechi nitapata matokeo 90mnts hapa JF kama yaabadilika..jamani SA mapema hivi!!
Hapo hakuna draw ndugu yangu, si unawaona SA sasa hivi weshakata tamaa kabisa~wanapiga kiatu kama ile Uruguay ya miaka hiyo.mechi draw hii mkuu .
Labda wafanye uchawi wa Nigeria
Wanamuangusha Parreira