ha ha ha ha!Itabidi Jioni ya Leo nikaungane na Teamo na Crispin tukachambue game ya France VS Mexico naamini watanikaribisha
ha ha ha ha!
naona umejifanyia SELF-ASSESSMENT
karibu mkuu!Msiponikaribisha nitakuja mwenyewe
Argie 4- Korea 1
safi sana ..kipindi cha ngapi hiki?
na mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Gosh hii mechi imenipita...