World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mpira ndo umeanza ila mimi Nigeria nawahofia sana hawako consistent katika uchezaji wao!!


I hope Nigeria wins ila wasidhani Greece is weak just bcos walichapwa na Korea.......


Will be back
 
Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal Nigeria 1 Greece 0........Go Super Eagles go
 
Freekick nyengine hio jamani...funga bao la pili wanaija!:hail::hail::hail:
 
Haruna anafanya mavituzzz!!!

_48102630_lukman_getty.jpg
 
Ab-Titchaz naona uko busy sana na matukio well done and
keep it up...Mechi zikiisha nakupa offer ya soda..
 
Back
Top Bottom