World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Nigeria watatoboa hapa kweli?????????....

_48102719_greekfan_reu.jpg
 
mkiambiwa IQ zenu ndogo..ooh ubaguzi,mnataka kurusha ngumi..watu mmeshafunga,mnamiliki vizuri mpira,mnashambulia,halafu lingine linatokea linafanya faulo ya kis88nge..mijitu mingine inakera kweli.
Kweli Miafrika...
 
Mijitu mingine bwana inakera. Bora muendelee kunipa matokeo humuhumu mi siangalii tena.
 
Kazi kweli kweli. Yani Africa hamna tunachoweza. Daa, mpaka inatia huruma wakati mwingine, kama jana wale jama wa vuvuzela wameboa kwakujionyesha wanajua soccer la brzil. Mungu tusaidie manake Weupe wanazidi kuprove fikra zao kuwa African are disabled
 
Goalkeeper anatusave kisha jamaa wanakosa bao la wazi!!!!!!....Damn!

AArggggghhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ooooooooooooooooooooh Nooooooooooooooooooooo..............Goli la wazi kabisa Nigeria wanakosa
 
Kampiga mtu teke.

Kweli miafrica ndivyo tulivyo,hatujui wapi panafaa kufanya nini,nanai anamkumbuka Fadiga wa senegal mwaka ule alivyoiba mkufu dukani wakati wa fainali za kombe hihili? EE mola tusaidie tujitambue.
 
hawa wa nigeria wanasifika ndumba sana naona pale wamejiroga wenyewe kwenda kukosa nafasi ya wazi kama hile.
 
Back
Top Bottom