World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Jamaa kaingia kama sub kisha anatoka...sijui msuli vp tena!
Kweli balaa leo...:frusty::frusty::frusty:
 
wacha utani bana yaaaaaaani mnanambia kuwa wamepigwa goli la pili?
Mkuu, kitambo sanaaa...hata tushakata tamaa. Tubahesabu mabao tu sasa.

Huyu ndiye aliyekomboa...

_48103491_dimitris_getty.jpg
 
Naenda kulala mapema nasubiria Staple Center baadae
 
Soka bwana TZ haya mambo ya kufeli kisoka tumezoea wenzetu wana utajiri wa furaha kama Brazil,Germany Italy... We acha tu Vuvuzela la jana sitasahau kabisaa yaaani!!
 
Soka bwana TZ haya mambo ya kufeli kisoka tumezoea wenzetu wana utajiri wa furaha kama Brazil,Germany Italy... We acha tu Vuvuzela la jana sitasahau kabisaa yaaani!!

Hahahahahaha. Jamani acheni matusi ya waziwazi
 
Back
Top Bottom