kwa waniga wameniput off kabisa, yaani kwa kweli sijapata kabisa raha ya gemu na hizi timu za Afrika. Na leo kama sio the great Enyiema, waniga wangeondoka na kapu la magori kwenda kugawana kwao.
Yaani wameniuzi sana, hivi kwa nini hawachezi kama wako kwenye world cup?
Niliisha sema hawa jamaa ni selfish wanacheza huku mawazo yakiwa katika kupata soko timu za ulaya matokeo yake wanaboronga. Ile red card ni kipuuzi sana, hasa ukizingatia jamaa kamgusa tu kidogo na mgiriki kareact, ni upuuzi mkubwa sana. Gemu ilikuwa yao hii kama siyo red card na hata wagiriki walilijua hilo.