World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Msimamo mgumu kwa France..

2010 FIFA World Cup™: France vs. Mexico

Group A :France 0 : 1 Mexico
trans.gif
- Live update (66')

MP W D L Pts
trans.gif

Uruguay 2 1 1 0 4
trans.gif

Mexico 1 0 1 0 1
trans.gif

South Africa 2 0 1 1 1
France 1 0 1 0 1
trans.gif
 
2-0 game over......WC over for france??
Kabla ya WC kuanza nilisema kwamba vibonde wa kundi hili ni SA na France, salama ya hawa wawili ni ktk mechi ya Mex na Uruguay mmoja amfunge mwenzake kitu ambacho ni very unlikely, a draw will be enough for both teams.
 
sikutegemea kama watakua wabovu kiasi hiki...................
 
2: 0 imekaa vizuri kwa SA kwa matokeo kati yao na France.
Count both teams out, kwa sababu mechi ya mwisho wanakipiga Uruguay na Mexico, na wakipiga droo kila mmoja anakuwa na points 5 ambazo haziwezi kufikiwa na wote SA na France.
 
watu walikuwa wanalitetea hili kocha.BLANC anapewa timu sasa sio ***** hilolimekuja kulostisha watu.

Hehhee punguza hasira ndio ukubwa....baada ya mechi njoo tupate shots za Tequilla achana na French Wine/Champagne.
 
Back
Top Bottom