World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

north korea ikikutana na south korea!mh
north korea na USA!!hahahahaa

Hii itakuwa kali mno maana inaweza kuanzisha vita vya ukweli kweli. Hasa hawa Wakorea wakomunist DPRK.
 
_48060615_green.jpg

Aghhhh golikipa katuuwa, sio mbaya sana lakini

 
huu mpira si umepimwa na vipimo vyote na kupewa go ahead!?!!ss shida nini?lile goli wewe
hahahaaaa golikipa wa taifa starzz
kazi kwelikweli

Kwa taarifa yako kupimwa si hoja kama wale wanaoutumia wanaona una kasoro. Hata madawa ya binadamu huwa yanapimwa na Wataalamu kwa vipimo vyote na kuja kuonekana kumbe hayafai. Huu mpira unaweza kabisa kutumiwa hadi mwisho wa WC lakini baada ya hapo hautatumiwa tena katika mechi kubwa zozote duniani.


The evil Jabulani

Well, they say there's no such thing as bad publicity, but a host of World Cup stars are doing their best to deflate the Adidas Jabulani official match ball…

"The ball is dreadful. It's horrible, but it's horrible for everyone." – David James (England, goalkeeper)

"The ball is a problem. You can't anticipate which direction it is going to go in. It is difficult for defenders to deal with and you can't take your eye off the ball until the very last second." – Marcus Tulio Tanaka (Japan, defender)

"The new ball is not decent, not just for goalkeepers but for everyone. Its trajectory is unpredictable." – Gigi Buffon (Italy, goalkeeper)

"It's very weird. All of a sudden it changes trajectory on you. It's like it doesn't want to be kicked. It's incredible, it's like someone is guiding it. You are going to kick it and it moves out of the way. I think it's supernatural, it's very bad." – Luis Fabiano (Brazil, forward)

"It's like a beach ball." – Claudio Bravo (Chile, goalkeeper)

"It's terrible… like a ball you'd buy in a supermarket." – Julio Cesar (Brazil, goalkeeper)

"Maybe they should stop trying to keep developing the ball and just change the look of it. The ball goes all over the place." – Seigo Narazaki (Japan, goalkeeper)

"It's a little sad that in a competition as big as the World Cup to have such a poor ball. It's not just the goalkeepers complaining, but the outfield players as well." – Iker Casillas (Spain, goalkeeper)

"It's a catastrophe. I played with many different balls, some of which wiggled or changed directions, but this one is the worst of them all." – Vladimir Stojkovic (Serbia, goalkeeper)

"It's a disaster… It moves so much and makes it difficult to control. You jump up to head a cross and suddenly the ball will move and you miss it!" – Giampaolo Pazzini (Italy, forward)

Nothing new here, and lots of goalkeepers moaning as always, but it does seem the Jabulani has come in for more criticism than previous World Cup balls.
 
Kwa Mchezo huu wa England naamini England watakuwa Daraja la Argentina kuelekea Nusu Fainali

Sisi Mashabiki wa Argies tunaisubiri Ujerumani Nusu Fainali hatimaye Spain au Brazil Fainali.

Najua watu wanalaumu kwamba timu siyo Nzuri lakini kwa Fitna za Diego tutafika Fainali
 
kweli kuna HATERS wa England wengi sana..........USA walizidiwa tuache unazi,kipa kawazawadia goli,England wamejitahidi sana hii game kulinganisha na game chache walizocheza warm up.hata USA wameonyesha ni timu nzuri.Group hili waatapita England na Usa.
 
Jamaa waliokuwa wakitazama ITV hawakuona goli live...ha ha ha..

 
Last edited by a moderator:
Jamaa waliokuwa wakitazama ITV hawakuona goli live...ha ha ha..



yeah big blunder by ITV.....lakini ilikuwa on ITV HD CHANNEL,normal ITV ilikuwa poa......
 
Last edited by a moderator:
Phew!England inabidi kukaza buti...Mie nasapoti zaidi SA,Samba boys&Maradona's crew..Zikitoewa zote nachagua timu zingine,hivyo hivyo hadi fainali..
 
Yaani mpaka sasa sijaona skills zinazoitwa

1. Lelastica
2. El regart
3. La bicicreta
4. De spero
5. Estil Laudrup
6. Lespardinha
7. El Barret
8. El triple Barret
9. La vaselina
Nk nk nk nk nk nk....

ndio muamini sasa
No Gaucho
No Football.

Lol!..braza GC naona Dunga akikatiza mitaa yako lazima umpige 'ngeta'...!, anyways, lets hope Brazil wl make it wthout hm anyway.
 
MODS kama kawa, mechi ikiisha basi hii uingwe kwene ile thread kuu.

16 minutes to kick-off.
 
Takwimu zinasema timu ikianza kushinda game one inakuwa na nafasi kubwa ya kusonga kwene raundi ijayo. Hii ni nafasi nzuri kwa Algeria to make a statement.
 
haka kamechi suddenly kamebeba umuhimu wa hali ya juu ktk hii group....imagine algeria au slovenia ashinde leo.....and to be honest i want one of the to win,prefer algeria though.......
 
haka kamechi suddenly kamebeba umuhimu wa hali ya juu ktk hii group....imagine algeria au slovenia ashinde leo.....and to be honest i want one of the to win,prefer algeria though.......

Ngojea tuone viwango vyao kwanza kama wanaweza kutoa upinzani wowote wa maana kwa mabwana vita.
 
Hawa Slovenia huwa ni wazuri, siyo timu ya kuidharau. Mimi nawapa nafasi ya kuingia round ya pili na Marekani au England. Mmoja wa hawa mabwana vita itabidi arudi tu nyumbani.
 
Algeria wakikaza msuri watapita manake USA na Engalnd wanakwambia wao ndio wababe wa kundi hili lakini ukiangalia ukweli Algeria sio wakuwadharau kivile.
 
Back
Top Bottom