Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Mpira umekwishaaaaaaaaa!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am doing a little dance here, it is called "Brazil is toast".
huyu dada sijui yuko salama au BP ilipanda ghafla? naona tangu bao la kwanza sijaona post yake tena!Nasikia Raha mie najua brazil wanaondoka na ushindi hapa ...kama alivyosema BAK hapa itakuwa Brazil 3- Ned 1
:humble:
mkuu we acha tu, b=naona brazia wanarudi kwenye wardrobeHe he hi hi kwi kwi kwi.........sasa ghana kamilisheni furaha yangu leo.......hawa bra-sil walibaki jina tu......
Refa ameharibu mpira kwa kiwango kikubwa.
WC hii itakumbukwa kwa most pathetic refereeing ever.
huyu dada sijui yuko salama au BP ilipanda ghafla? naona tangu bao la kwanza sijaona post yake tena!