World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Riots have already started in Brazil. I really worry for this country after tonight's performance.

BsDSli3IMAAw1mt.jpg


Hawa jamaa hawacheleweshi, kama mashabiki wa Tanzania
 
Hii inathibitisha kwamba kumbe USA, Algeria & Ghana ni timu nzuri. Waliwadhibiti vilivyo hawa wataalamu...

umenena mkuu tuliwaona kama hawajui hivi lakini ni wazuri. ndiyo maaana obama alisema "you made us proud"
 
Invisible BAN niliitaka mwenyewe ila si kwa haya magoli mengi hivi haya magoli ni aibu sana ukinipa BAN utakuwa shabik wa German
 
Last edited by a moderator:
unajua kuna ile baadhi ya timu walivyotolewa wanarudi home watu mnakuwa proud kwamba hawa watu wamefight Sana ila haikuwa bahati lakin kwa Brazil ni habari nyingine.
 
Kusema ukweli nataka Netherlands Ichukue hii ndoo ili yaishe kabisa tena kwa magoli mengi sana
 
If this was a boxing match, referee would have stopped the fight and reward the Germans the Technical Knock out.
 
Brazil hasn't lost a game in their home stadium since 1975.
 
Riots have already started in Brazil. I really worry for this country after tonight's performance.

BsDSli3IMAAw1mt.jpg


Hawa jamaa hawacheleweshi, kama mashabiki wa Tanzania

Hata mimi nawasapoti sitaki hii wedi kapu iendelee kabisa
 
Back
Top Bottom