World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mie kuna mtu wangu ni mpenzi sana wa Brazil, basi mechi inaanza akanitumia text kufurahia game na kudai ushindi ni kama kawa nami nikafanya hivyo baada ya goli la tatu nikamtumia text kumwambia sielewi nini kinaendelea hakujibu, halftime nikamtumia text kimya nikaamua kumpigia simu kimya, hii si kawaida yake nikaanza kuingiwa na wasi wasi mpira ulivyoisha nikampigia simu kimya. Ndiyo nimempata sasa hivi anadai baada ya goli la nne akaamua kulala, kaamka kakuta text messages 200 zikimpa pole kwa kipigo, na missed calls 120. Nafurahi kwamba yuko poa kabisa.

Mie kiukweli baada ya magoli mengi ndani ya dakika chache niliona kabisa its game over sina sababu ya kujiuliza why, kulia au kuhuzunika. Nikatulia zangu maana usingizi ulikuwa hauji kabisa
 
daah bana mtandao hapa nilipo unazingua sana....halafu mods pia siwaelew sometime wananiunganisha na id nisizozijua basi nashindwa kukoment...sijui nifanyaje

Au ndo zile saba??
 
Mkuu namsikiliza Muller hapa anasema hata wao hawakutarajia ushindi mkubwa na rahisi kama huu!

Muller kawapa sana tege Algeria kama wapo vyema sana!

In my view, Brazil had already lost the match when Neymar was injured. Not because the Selecao had lost their best player – although that will always have an impact – but because the way his absence had been handled was over-dramatic, childish, bordering on the absurd.

Before the match I had expressed reservations at how the Brazil team, and particularly coach, had controlled the situation. In its immediate aftermath anger, sadness, a sense of injustice are all understandable. But Luiz Felipe Scolari, aka Felipao, wouldn’t stop harping on about Neymar in his pre-match press conference, three days after the injury.

How’s that going to make his replacements feel? How would young winger Bernard – given the job of replacing Brazil’s star player – enter the match knowing that he was a shock selection, probably just for the benefit of his hometown fans,

And when the team arrived at the stadium, seeming relaxed as they samba-danced on the bus, I did wonder why all – including the manager – wore ‘forca Neymar’ baseball caps. He wasn’t dead, or stricken with a terminal illness: he’s out for four to six weeks with a back injury, for Willian’s sake. Fans wearing Neymar masks are understandable, but the players were distracted from the job in hand.
 
The Rio Report: Tragedy? Brazil’s defeat to Germany was more like a comedy
How the world reacted to one of the most stunning World Cup results of all time: Brazil 1-7 Germany.

"It is the biggest embarrassment in 84 years of the Cup. It was 10 minutes of compete blackout. You can't do that in the semi-final of the World Cup." Galvao Bueno, Brazilian television commentator and presenter.

- - - -

"Tragic? Don't. It was even more pathetic. 1950 was a tragedy, today was more like a comedy." Brazilian football writer Mauricio Savarese referring to the 2-1 defeat to Uruguay in the 1950 World Cup final.

- - - -

"It will be difficult to recover. Some players I don't think will be back to wear the Brazilian shirt. It is wrong now to criticise the players. On the field Germany taught us how to play football, we have to learn from that.

"The Germans played the way we liked to play so we need to sit back, see what is wrong with Brazilian football. Especially in the academies, the way we teach them to play. A lot of change will need to come." Juninho, former Brazil midfielder.

- - - -


"I don't know what the lads from Brazil were carrying on their shoulders. In these pictures you keep seeing them crying, before the match or after the match. This team didn't have enough experience to come to terms with the pressure of a big tournament like this in their own country. They fell apart emotionally today completely." Oliver Kahn, former Germany goalkeeper.

- - - -

"Honestly, it's hard to explain, you can't explain the inexplicable." Julio Cesar, Brazil goalkeeper.

- - - -

"You could see Brazil didn't have a plan to play against Germany. We played a perfect 45 minutes," Thomas Strunz, former Germany international.

- - - -

"There has never been a game like this. It is utter humiliation for Brazil. When you talk about every facet of defending, it is about four levels below rock bottom. It is so bad it is embarrassing. David Luiz is meant to be the leader and he has abandoned ship." Alan Hansen, former Liverpool and Scotland defender and BBC television pundit.

- - - -


"It's difficult to find an explanation for this. It's a disappointment for all Brazilians. It's a difficult thing to accept." Brazilian 2002 World Cup winner and former World Player of the Year Rivaldo, speaking on German television at half-time.
 
Mhhhhhh! relax banaaaa ni aje lol! hahahahaha...unataka watu waususe huu uzi!?

Based on peformance na Algeria then na France hata wewe HUKUTEGEMEA Mkoloni kupiga 7!Tuwe wakweli tusiende na matukio
 
In my view, Brazil had already lost the match when Neymar was injured. Not because the Selecao had lost their best player – although that will always have an impact – but because the way his absence had been handled was over-dramatic, childish, bordering on the absurd.

Before the match I had expressed reservations at how the Brazil team, and particularly coach, had controlled the situation. In its immediate aftermath anger, sadness, a sense of injustice are all understandable. But Luiz Felipe Scolari, aka Felipao, wouldn't stop harping on about Neymar in his pre-match press conference, three days after the injury.

How's that going to make his replacements feel? How would young winger Bernard – given the job of replacing Brazil's star player – enter the match knowing that he was a shock selection, probably just for the benefit of his hometown fans,

And when the team arrived at the stadium, seeming relaxed as they samba-danced on the bus, I did wonder why all – including the manager – wore ‘forca Neymar' baseball caps. He wasn't dead, or stricken with a terminal illness: he's out for four to six weeks with a back injury, for Willian's sake. Fans wearing Neymar masks are understandable, but the players were distracted from the job in hand.

....Its Neymar this or that,aint that supposed to be a TEAM......or just one man team?The truth Brazil had no team worth a WC champ for a start!
 
....Its Neymar this or that,aint that supposed to be a TEAM......or just one man team?The truth Brazil had no team worth a WC champ for a start!

Neymar is overrated anyway and Luiz is not worthy £50m
 
Mkoloni alicheza vyema mechi ya kwanza na Ureno;akazimika kabisa na Ghana akawa wa kawaida tu na USA!

Akazidiwa na Algeria then akacheza hovyo na France!Hata ww hukutarajia bao 7 hizi;tuwe wakweli jamani

Na hizo ndo sifa za "BINGWA"...angalia hata anapocheza ovyo bado anaibuka mshindi,ni kweli hakuna alietarajia goli hizi lkn mshindi alijulikana kabla ya mechi
 
Mkoloni alicheza vyema mechi ya kwanza na Ureno;akazimika kabisa na Ghana akawa wa kawaida tu na USA!

Akazidiwa na Algeria then akacheza hovyo na France!Hata ww hukutarajia bao 7 hizi;tuwe wakweli jamani

Sikutaraji goal 7 ila nilitaraji ushindi, kupata matokeo huku ukicheza kawaida au hovyo ndio sifa kuu ya team imara.
Brazil wana safari ndefu kurudia makali yao yaliyowafanya wakapendwa na dunia nzima (excluding Argentina) na sijawahi kuona team ikilialia kuhusu mchezaji mmoja kama hii kuanzia wachezaji mpaka kocha, pathetic! Neymar kafanya hivi mara vile na wapuuzi wakaingia na jezi yake eti wakizani itawaokoa na kiboko cha mkoloni, lol!
 
Sikutaraji goal 7 ila nilitaraji ushindi, kupata matokeo huku ukicheza kawaida au hovyo ndio sifa kuu ya team imara.
Brazil wana safari ndefu kurudia makali yao yaliyowafanya wakapendwa na dunia nzima (excluding Argentina) na sijawahi kuona team ikilialia kuhusu mchezaji mmoja kama hii kuanzia wachezaji mpaka kocha, pathetic! Neymar kafanya hivi mara vile na wapuuzi wakaingia na jezi yake eti wakizani itawaokoa na kiboko cha mkoloni, lol!

Mkuu naongea hapa kila siku!!Huwezi chukua kombe la Dunia eti Neymar ndiyo striker wako tegemeo!Neymar enzi za Ronaldo na Rivaldo hata Brazil under 23 hachezi
 
Back
Top Bottom