World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Itakuwa all Dutch finals
halafu South American haters watakutana kwenye 3rd position.... Another historical match na huenda na matokeo pia
 
Usiumeume maneno...ni Lukas Podolski.

Na kwa taarifa mechi ya jana dhidi ya Brazil haikuwa hadhi yake kucheza! Utamwona siku ya Fainali

AHAHAHAHAHAHHA haya mkuu bana mm sina maneno kwa kweli
 
Duh!!! Asante sana Katavi,angalau tutashindwa kujua nani atashinda,na wala usiseme hata unapenda nani ashinde,wewe leo kuwa mtazamaji tu,hatukunyanyapai ila tunakupenda sana,umekuwa kama mtabiri humu jamvini.

Ahahahaha RVP anaumwa tumbo likely leo asicheze!Messi Massiah leo tutoe aibu hii lol
 
:A S-devil4: Za jana ,natumai tulikwenda kama nilivyowaamboa ,magoli si chini ya manne na brazili atapata mbili ,amepaata moja ,ufupi Germany ni mshindi.

Leo anafungwa mtu goli moja tu ,yaani ni moja ndivyo adi saa hii raada zangu zinavyoonyesha ,inawezekana 2-1 au 4-3 2-3,tufahamiane hapa ni kuwa mshindi atashinda kwa tofauti ya goli moja tu ,najua mtapenda kujua nai nani atashinda ,mshindi ni Mholandi .ila mechi ipo kwenye mawingu makali sana ,ila viashiria vinaonyesha Holland anaondoka na ushindi wa bao moja.:flame:
 

Wananchi wa Brazil hawatakuja wasamehe wachezaji wa siku ya jana kwani wamewatia aibu kubwa sana ambayo hawakutegemea ingetokea kwao
 
Ukiona mtu mzima analia ujue kuna ... Nahisi kuna kipigo kingine kibaya kinatungoja kwenye mshindi wa tatu, chonde chonde wasipeleke timu uwanjani kwa gharama yoyote hata kama ni kufungiwa.

Kumbe bado kuna mshindi wa tatu tena. Hata kama wafunge magoli mangapi sitawasamehe kwa kuniumiza jana
 

Mimi sisemi tuonane baadaye hizo radar zisije vunjika.....
 
Sielewi Neymar afanye nini ili akubalike.Neymar ni mchezaji wa kiwango cha juu sana,bahati yake mbaya anakulia katika vikosi vya timu kubwa zinazoshuka viwango,hasa Barca na Brazil,hivyo juhudi zake hazionekani uwanjani kwani anabebeshwa expectations zote yeye peke yake,hivyo timu ikifungwa inaonekana kafungwa Neymar.labda na vyombo vya habari vinachangia hili kwa kumhighlight mtu mmoja tuu kupita kiasi.Neymar akikaa kwenye vikosi vyenye mafanikio na wachezaji wengi wanaomulikwa individually kama yeye,ataonekana aking'aa.Kila ninapoona anakuwa criticized huwa natumia muda mwingi kumtazama uwanjani,namfanyia tafakuri,speed,mobility,agility,creativity,vision,nagundua hafit kwenye timu hizi,ndio maana anaonekana kama anakosea.kuna wakati unamwona anatoka kasi,anapangua mabeki,anaingia penalt box peke yake,mabeki wanamjua,wanamfuata msitu,anatafuta mtu wa kucheza nae one two hakuna,matokeo yake anaforce chenga nyingi mahali pagumu na mabeki wanamhadaa kumhamisha kwenye dangerous zones,anapiga mashuti yanakuwa blocked au off target,au atapiga back pass na kuonekana kupoza mashambulizi.hivi vinamfanya mtu anayemtazama Neymar individually akiwa na expectations amuone hajui au average player,tunasahau kuwa hata malaika waliumbwa wengi kwa sababu inahitajika nguvu ya wengi,Gabriel alipigana na Lucifer,Leviathan,na mashetani wengine for 3days bila ushindi,vita ikawa ngumu,Mungu akatuma malaika mkuu mwingine Michael,maana akina Lucifer nao walikuwa powerful angels,Teamwork ya Michael,Gabriel na majeshi yao ikamtwanga Lucifer na majeshi yake hadi Pandemonium.wakaona bora waje kuanzisha conflict na Adam aliye pekee tena kwa mdomo bila vita kuliko kukutana na yale magangwe ya mbinguni tena.sasa kama malaika ni hivi,what about Neymar?naumia kuona kila afanyalo dogo hamumkubali dah!inasononesha sana.
 
gutierez bado humkubali Neymar?
brazil wote wabovu,brazil ilikuwa zamani,wanashinda kwao,jana wamevunja rekodi ye2 kufungwa bao nyingi tena kwao,hata naima(sijui neymar)@juve02 hana kitu mchezaji kidogo angekuwepo thiago silva,wamechezea kichapo cha wajerumani n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…