Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
niwasalimie wote hapa jukwaaani. poleni na masahibu ya jana karibuni tena leo. Leo nipo #teamajentina
#TeamNetherlands
#TeamHolland
#TeamUholanzi
Salamu zako zimefika...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niwasalimie wote hapa jukwaaani. poleni na masahibu ya jana karibuni tena leo. Leo nipo #teamajentina
Tutafutane saa saba usiku mwanangu,hapahapa kwenye hii thread!
Usiumeume maneno...ni Lukas Podolski.
Na kwa taarifa mechi ya jana dhidi ya Brazil haikuwa hadhi yake kucheza! Utamwona siku ya Fainali
Duh!!! Asante sana Katavi,angalau tutashindwa kujua nani atashinda,na wala usiseme hata unapenda nani ashinde,wewe leo kuwa mtazamaji tu,hatukunyanyapai ila tunakupenda sana,umekuwa kama mtabiri humu jamvini.
ahahahaha rvp anaumwa tumbo likely leo asicheze!messi massiah leo tutoe aibu hii lol
Brazil vs ajentinaupo kiongozi. Hahahaha ajentina leo wanatinga fainali
Brazil vs ajentina
uholanzi vs ujerumani
Yalisemwa hata Jana,uholanzi haendi kokote leo. wewe subiria tu masaa machache utakimbia jukwaa
Sisi tu tulioangalia kwenye screen tulihuzunika, Wajerumani wenyewe walivyoona zinafika6 walihuzunika ijapokuwa yule sub aliyefunga goli la 6 na la 7 alitakiwa awaonee huruma! Kibinafsi, mimi naona ni matokeo ya kisaikolojia zaidi.
Moja kwamba Neymar hayupo, hiyo kisaikolojia iliwaathiri.
Pili Thiago Silver, nahodha na mtu muhimu hayupo, ikawatoa kabisa kwenye mstari
Na tatu, kimuhemuhe cha kucheza nyumbani huku ukiwa na Wananchi wakiwatazama unakosa amani. Huwezi kuamini ile mechi ingechezwa nje ya Brasil, hata kama wangefungwa ingekuwa pungufu ya goli7, tuseme pungufu ya goli5!
david Luiza naye chenga tu, psg wamekula garassa
Ukiona mtu mzima analia ujue kuna ... Nahisi kuna kipigo kingine kibaya kinatungoja kwenye mshindi wa tatu, chonde chonde wasipeleke timu uwanjani kwa gharama yoyote hata kama ni kufungiwa.
Ahahahaha RVP anaumwa tumbo likely leo asicheze!Messi Massiah leo tutoe aibu hii lol
:A S-devil4: Za jana ,natumai tulikwenda kama nilivyowaamboa ,magoli si chini ya manne na brazili atapata mbili ,amepaata moja ,ufupi Germany ni mshindi.
Leo anafungwa mtu goli moja tu ,yaani ni moja ndivyo adi saa hii raada zangu zinavyoonyesha ,inawezekana 2-1 au 4-3 2-3,tufahamiane hapa ni kuwa mshindi atashinda kwa tofauti ya goli moja tu ,najua mtapenda kujua nai nani atashinda ,mshindi ni Mholandi .ila mechi ipo kwenye mawingu makali sana ,ila viashiria vinaonyesha Holland anaondoka na ushindi wa bao moja.:flame:
brazil wote wabovu,brazil ilikuwa zamani,wanashinda kwao,jana wamevunja rekodi ye2 kufungwa bao nyingi tena kwao,hata naima(sijui neymar)@juve02 hana kitu mchezaji kidogo angekuwepo thiago silva,wamechezea kichapo cha wajerumani ngutierez bado humkubali Neymar?