World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Hawa uliowataja wote hawajui mpira, huoni uwezo wowote wanaotumia kama wa kipekee ndani ya footbal, eti Klose,Kroos,Gotze,Schurrle ambukukuku hamba kitu hapa ndugu, mpira si kucheza bali ni kuuchezea, kama close hodari tangu 2001 kuna zawadi gani ya mwanasoka bora aloipata
 
uholanzi haendi kokote leo. wewe subiria tu masaa machache utakimbia jukwaa
uholanzi anatwaa ubingwa kwa mara ya kwanza, mark my word, jumapili si mbali, na leo utamuona mgongo tu akiwa anaelekea jumapili.
 
Mie siyo kwamba nawachukia Wajerumani kihivyo, ila kwenye mashindano yoyote yale sijawahi kuishangilia Ujerumani, hivyo yeyote kati ya hizi timu mbili washiriki katika hii semi final ya leo itakayoshinda ndio chama yangu Jumapili, lakini nataka sana kuwaona Argentina wakishinda leo. Nao wana pengo kubwa la kumkosa Di Maria.

 

Dah!! umemuelezea Neymar mpka inanitia huruma,angekusoma hapa angekupenda bure,mimi namkubali alikuwa analeta changamoto sana kwa wenzie,kiasi fulani alikuwa anawafanya wawe pamoja,na mara nyingi alikuwa akiwapa hamasa wenzie kwa ishara za mikono kwamba wasonge mbele,na matokeo ya kutokuwepo kwake tumeona jana kulikuwa hamna team work kabisa.
 
Tuseme tu ukweli ujerumani hawatishi kihivyo,hata jana wala hawakucheza mpira wa nguvu kwamba ndo ukaleta mabao yale,nguvu waliyotumia kucheza na France au Ghana ingetumika jana nadhani mabao yangekuwa 90 maana kila dakika ingekuwa ni goli, Brazil jana hawakuwa teamwork kabisa beki mbovu,wakapanikii wakawa hawawezi tena ukiangalia goli la 2-5 lililovyoingia ilikuwa ni ajabu sana hata kimanzichana shule ya msingi wasingefanya hivyo.
 

Kweli kabisa, hawatishi kihivyo. Na jana walicheza kawaida sana. Ila magoli waliyofunga si kawaida katika soka.

Ni Brasil wenyewe ndo walioruhusu kufungwa magoli mengi hivyo.

Nahisi labda walielemewa na presha ya kutarajiwa kufanya vizuri kwa vile walikuwa nyumbani.

Mtu ukiwa exepected kufanya vuzir sana huwa wakati mwingine inakuwa ni disadvantage.

Yaani sikuamini kabisa jinsi mabeki wa Brasil walivyokuwa wanaacha nafasi wazi kiasi kile.

Ni kama vile walikuwa walikuwa wamepatwa na ganzi.

Unapoona hata Wajerumani wenyewe wanashangaa ilikuwaje hapo ndo ujue jana haukuwa mchezo wa kawaida wa soka.
 

Wewe unaujua mpira..hongera kwa maelezo murua.
 
Kuna mtu anajua sehemu ambayo itakuwa na livestream ya mechi ya leo? Kama yupo naomba aniwekee anwani ya tovuti. Natanguliza shukrani.
 
Arsenal itakuwa ndio klabu pekee toka Uingereza kuwa na wachezaji wengi kwenye Fainali.... Believe it or not
 

Argentina legend Diego Maradona believes his nation's World Cup fate rests entirely on the shoulders of Lionel Messi ahead of their semi-final against the Netherlands.

The Albiceleste have made it to the final four for the first time since 1990 and Maradona feels they have the Barcelona star to thank for their successful tournament so far.

Messi has scored four times in five appearances and faces yet more pressure to perform following an injury to Angel Di Maria, but Maradona is confident he will produce the goods.

"It's because of Messi that we have reached the last four for the first time since 1990 and one more will take us a step closer to our goal. But it won't be easy," Maradona told Times of India.

"A lot will obviously depend on Messi, who will remain the world's best player irrespective of the result.

"Is the pressure of carrying the hopes of a nation overpowering? International sport is all about that. When you lose a match of such magnitude, the country mourns. When you win, it erupts in joy. They dance, laugh, sing and cry. All for a mere win in a football match. South Americans are crazy about football and their footballers.

"No one knows it better than Messi. Because he doesn't play club football at home, watching him is a TV experience in Argentina.

"After failing to get past the quarter-finals in 2006 and 2010 with him in the side, his deeds this time have raised expectations."

Argentina last won the World Cup in 1986, when they beat West Germany 3-2 in the final.
 

Attachments

  • Messi vs Maradona.png
    44 KB · Views: 102
Nikiwa bado na machungu ya jana..Leo Sishabikii timu yoyote..Itakayoshinda Leo nitaishabikia Fainali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…