palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Ah!! Wapi!! Mi ndo nashinda nakifikiria tu kibarua ulichonipa,nadhani unaelewa Argentina ni kutoka uvungu wa moyo wangu Ikifungwa Sijui utanibeba na mbeleko ipi?
hahahaaah,,,,,,mkuu hii kauli niliifuta jana.
#teamargentina wew vipi leo?
Sina team aisee, nategemea tu kupata burudani.
nilikuwa na majukumu ya kifamilia kidogo lakini sasa nimerejea. wazima humu ndani??
Hahahahahaha lol!!!! ile kukuona tu nimeanza kucheka mwenyewe lol! hahahahah halafu na hiyo Avatar yako dah! Basi Mkuu usitie neno zaidi baki na uamuzi wako wa mapema leo.
Sina team aisee, nategemea tu kupata burudani.
TEAM argentina mpo?
Karibu sana,nadhani unakumbuka ahadi yetu.