Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Haka ka Messi kapo kama kapanya aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi ni moto wa kuotea mbali..
Atleast leo tunaangalia mechi jamani!!!
Ee Mungu muumba mbingu na nchi....Naomba leo Argentina washinde hii gemu..
Hivi ule mjadala wa kuwa Messi na Maradona nani zaidi ulifikia wapi?
Atleast leo tunaangalia mechi jamani!!!
Akiwaongoza Argentina kubeba kombe hili Messi atakuwa mchezaji bora kuliko yyt yule kupata kutokea hapa duniani!
Takwimu hazidanganyi jamani