The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
At least it's a contest!
jana mida kama hii gemu ilikuwa ishaisha
hahaaaa umebadili na bendera naona...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least it's a contest!
jana mida kama hii gemu ilikuwa ishaisha
At least it's a contest!
jana mida kama hii gemu ilikuwa ishaisha
Haka ka Messi kapo kama kapanya aisee
leo tunaangalia mechi ya world cup jana lilikuwa kama bonanza
hahahahaha lol!!!!
habari zenu.........
uholanzi haendi kokote leo. wewe subiria tu masaa machache utakimbia jukwaa
salama kabisa. niaje?habari zenu.........
habari zenu.........
hahaaaa umebadili na bendera naona...
Mkuu mimi leo nafurahia burudani tu maana nikiongea humu naweza kupigwa.