palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
So far so good mkuu!Zidi kutia ubani mambo yanyooke
hahahaha wewe acha atu. ila hii mechi kuna halahala ya kwenda dk120. lakini leo tunashinda kama ni matuta basi 5-3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So far so good mkuu!Zidi kutia ubani mambo yanyooke
Hilo la kupigwa haliwezi kutokea Mkuu, watu tunafanya utani tu ondoa hofu kabisa.
Jana ulikuwa na bendera ya Brazil leo una ya Argentina.. LOL kesho utakuwa na ya French Guyana nini?
jana muda kama huu yalikuwa matano tayari...
Jana kama saa hizi mpira ulikuwa umekwisha zamani huku wapenda soka duniani wakiwa wamepigwa bumbuwazi la hali ya juu.
habari zenu.........
Jana kama saa hizi mpira ulikuwa umekwisha zamani huku wapenda soka duniani wakiwa wamepigwa bumbuwazi la hali ya juu.
Usishangae kesho ukiniona na ya Ujerumani...
Unataka upigwe mawe?