DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,533
- 2,709
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna kitu walifikaje WorldCup au walifika Kama mbunge wakuteuliwa Dodoma.
Kivipi mkuu?England asitoke mapema...kwa ustawi wa WC!
Kuna machine ingine ya PSG Marco Verratti balaa mkuu.Pirlo ni hatari..ila tunaye Steven Gerald, pirlo leo sizan kama ataperform mbele ya vijana wa malkia.
Kwa ustawi wa JF ninaona ni bora England afungwe leo, maana watu wengi watahuzunika sana kama England ikishinda
#TeamEngland
nini Huyu Kibabu Hudgson anawapa bench la Italy mikono #TeamEngland . Thierry Henry ataki kufukuzwa kazi Kasema 2-0 kwa England yupo BBC Shererrer hajiamini Kasema Draw kijana wa Peckham Rio Fredinand Kasema 1-0 Mie nasema 3-1.Kwa ustawi wa JF ninaona ni bora England afungwe leo, maana watu wengi watahuzunika sana kama England ikishinda
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamEngland]#TeamEngland [/URL]
Come Boys #TeamEngland England
- 01 Hart
- 02 Johnson
- 03 Baines
- 14 Henderson
- 05 Cahill
- 06 Jagielka
- 19 Sterling
- 04 Gerrard
- 09 Sturridge
- 10 Rooney
- 11 Welbeck
Kuna machine ingine ya PSG Marco Verratti balaa mkuu.
Hujiamini.?
Teh Teh Teh Mkuu naona Leo unatupa Kete yako!
Duh Henderson anacheza kati, basi Pirlo hatokuwa na mpinzani. Mario why always me Baloteliii scored the second
Nyie inaeleweka mpira wenu ni kwenye magazeti.Nawaonea huruma nyie maana siku yenu itakuwa mbaya
#TeamEngland tunaiamini timu yetu kuwa inaujua kucheza