palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Argentina mechi ya ngapi hii wanaenda extra time?
kulala nataka ila kuliacha game naona hasara yani shida tupu.
Kipa wa Holland leo anapiga chenga nzuri sana kwenye goli lake
Na wamalize tukalale nshachokaa na game naitaka loh
@bwa'chuchu arg wakitolewa leo unahamia wapi? Mana weyw kwa kuhama timu hujambo
anajiandaa na matayarisho ya kuruka kichurachura na sufuria ya maji moto kichwani 🙂🙂
ataenda Germany na avatar itabidi abadilishe vile vile
akifanya hivi mara ya 3 atafungwa goli
Di Maria naona umuhimu wake. Ile partenership na Messi inakosekana leo
Argentina huwa wana bahati sana extra time dk 15 za mwisho
Mhhhhhh! ni aje?
Hahahahhaha tumesema sawa.........na kuhadithiwa hainogi basi
Van Gaal amemaliza sub?