Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
anajiandaa na matayarisho ya kuruka kichurachura na sufuria ya maji moto kichwani 🙂🙂
Nimemwambia aminye wapate ushindi hataki ,embu nawe minya tishinde basi!!!!
Hapigwi mtu....
Katavi weee tulia tuuuli tegemea ubavu wangu mie bonge la baunsaa tuone huyo ataekupiga
Mtihani ulokuepo leo mara akishika mpira van parsie naruka ruka huwa nasahau timu yangu kama mie argentina....
@bwa'chuchu arg wakitolewa leo unahamia wapi? Mana weyw kwa kuhama timu hujambo
@bwa'chuchu arg wakitolewa leo unahamia wapi? Mana weyw kwa kuhama timu hujambo
uholanzi hatuna wasiwasi, kipa wetu wa penati ataingia punde si punde!
uholanzi hatuna wasiwasi, kipa wetu wa penati ataingia punde si punde!
morali kwa wachezajitukikumbuka inasaidia nini MEANDU
uholanzi hatuna wasiwasi, kipa wetu wa penati ataingia punde si punde!
Ya kwanza kama sikosei
yule golie wa holland leo hana chakeMkuu sub zishaisha kitambo tu
Wakitolewa akina Messi basi sina jinsi zaidi ya kurudi kwa mkoloni tu. Kusema ukweli sioni kati ya hizi timu za leo atakayeweza kukabiliana na mkoloni.
Jana mkoloni katu meseji na imekuwa delivadi (ingawa alisaidiwa sana na total collpase ya Brasil).
Di Maria mwache aende zake, jamaa mzuri sana na pengo lake leo linaonekana.