World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

uholanzi hatuna wasiwasi, kipa wetu wa penati ataingia punde si punde!
 
Mhhhh! Mamluki weye!!! Nishakustukia huku unatwambia #TeamArgentina moyoni #TeamNetherlands lol!

Hapigwi mtu....

Katavi weee tulia tuuuli tegemea ubavu wangu mie bonge la baunsaa tuone huyo ataekupiga



Mtihani ulokuepo leo mara akishika mpira van parsie naruka ruka huwa nasahau timu yangu kama mie argentina....

@bwa'chuchu arg wakitolewa leo unahamia wapi? Mana weyw kwa kuhama timu hujambo
 
@bwa'chuchu arg wakitolewa leo unahamia wapi? Mana weyw kwa kuhama timu hujambo

Wakitolewa akina Messi basi sina jinsi zaidi ya kurudi kwa mkoloni tu. Kusema ukweli sioni kati ya hizi timu za leo atakayeweza kukabiliana na mkoloni.

Jana mkoloni katuma meseji na imekuwa delivadi (ingawa alisaidiwa sana na total collpase ya Brasil).
 
Mashabiki wa Brazil tumenyanyasika,tumedhalilishwa vya kutosha.mtuache tupumue jamani.leo mtu ananitumia sms ananiambia leo ni tarehe 10/Brazil/2014!mwingine humu nakumbuka kasema Brazil jana walitumia nguvu nyingi kuimba national anthem hadi wakaishiwa pumzi ya mchezo!dah!
 
Leo timu zinacheza kwa kuogopana kutokana na matokeo ya mechi ya jana
Penati hapa lazima.
 
Wakitolewa akina Messi basi sina jinsi zaidi ya kurudi kwa mkoloni tu. Kusema ukweli sioni kati ya hizi timu za leo atakayeweza kukabiliana na mkoloni.

Jana mkoloni katu meseji na imekuwa delivadi (ingawa alisaidiwa sana na total collpase ya Brasil).

Mie hapa yoyote itakayopita ndio ntahia uko mkoloni hapana....


Ndo mana nafurahia pande zote mbili kazi nnato
 
Di Maria mwache aende zake, jamaa mzuri sana na pengo lake leo linaonekana.

Argentina pamoja na utajiri walionao wa forwards, hawana play maker, toka Roman Riquelme astaafu team ya taifa nafasi yake haijapata mrithi, at least yule dogo anaozea bench kule PSG angewatengenezea magoli kina Messi and co
 
Back
Top Bottom