World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wakienda kwenye matuta Uholanzi atapigwa! Maana hawawezi Kua Na bahati Mara Mbili ya kusonga mbele Kwa matuta!
 
Mhhhh! Mamluki weye!!! Nishakustukia huku unatwambia #TeamArgentina moyoni #TeamNetherlands lol!


Hahahahah usikute nimefata shangwe tu.....

Alafu uholanzi zimenivutia hivi jezi rangi damwatiii lol
 
Reactions: BAK
@Mwekundu leo kawa mweupe alionekana kituo cha polisi akihoji kulikoni? lol! na kutaka wekundu wake arudishiwe haraka sana.

Hahahahhaba kuna watu wana visa humu

Wapi mwekundu mzee wa kumeza kisu au ndo ushakua marehemu tukulie mpunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…