World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

lol! mie huminya wakati wa matuta 🙂🙂🙂 si kabla ya hapo...Nawe unaminya nini? I m just asking lol!!!


Hahahahaha!! Hii kwetu functionless .Minya bana tuchekeeeee!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Argentina mmenipa raha..hakuna kukubali kufungwa ki..fa..LA. Hata wakitoka kwa penalty sawa tu. Kuhimili 120 so mchezo. Watu walichonga Sana walidhani Holland wataifunga Argentina kirahisi tu...kwa mtonyo gani?? Messi na team yake hawajaenda Brazil kutalii ati.
 
Sasa ni kulaumiana tu na uchawi ila mama bahati atalalia chungwa!!
 
All the best

Mshindi yoyote ni chaguo langu

Dont ask more
 
Back
Top Bottom