World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Weusi tumo, karibu kila team ingawa jana Australia haikuwa na black aborigina hata mmoja
 
Come Boys #TeamEngland England


  • 01 Hart
  • 02 Johnson
  • 03 Baines
  • 14 Henderson
  • 05 Cahill
  • 06 Jagielka
  • 19 Sterling
  • 04 Gerrard
  • 09 Sturridge
  • 10 Rooney
  • 11 Welbeck

Duh Henderson anacheza kati, basi Pirlo hatokuwa na mpinzani. Mario why always me Baloteliii scored the second
 
Wasiwasi wangu ni Glen Johnson tu ukitowa hapo Italy kaumia.
 
Duh! Nililala kidogo ili kupunguza kausingizi kidogo, ila nilivyo amka siamini ninacho kiona kwenye vyombo vya habari, hivi nikweli Uruguay kafungwa? Maana kabla ya kuamua kulala niliacha anaongoza kwa goli moja, dah mpira kweli hauna adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…