World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaani umemchukia mkoloni kiasi hicho? Hahahaaaaaa


Kabisa tangu alivyotoa wale jamaa zetu algeria kiroho kiliniuma siku ile chakula hakikupita na hamu yote ya mechi ikaishia pale ndio mana jana brazil tulivyopigwa 7 mabao namba lubwa utafkir namba ya kiatu sikushuhulika
 
Majanga...hii ndiyo lala salama dah! bahati nzuri yule muokoaji penalties maarufu wa Holland leo yuko bench.
 
Ah,mapenati tena,huu mpira usio na dira siupendi Mourinho hongera bwana,wadachi tushatoka,hizi penati natamani tu nizime tv.i'm so nervous.
 
Last edited by a moderator:

Hii je?
Wiki moja ina siku 7,
Shule ya msingi madarasa 7,
Huu ni mwezi wa 7,
Tupo msim wa sabasaba
Brazil wamefungwa 7
Game imeisha saa 7
Mathayo 7:1 ​Inasema "na iwe hivyo kwa wenyeji wapewe vipande saba vya mkate ili mgeni apewe kimoja,kwa maaana bwana anataka tuwe wakarimu kwa wageni"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…