lol! mie huminya wakati wa matuta 🙂🙂🙂 si kabla ya hapo...Nawe unaminya nini? I m just asking lol!!!
haya minya sasa....
Kama wata mpanga robben kupiga penalty basi ndo atawaangusha Holland
Huyu middle mweusi wa holland hajulikani lakini katulia balaa,anacheza timu gani?
Wadada huwa hawaminyi ila wanakibana kidole na naniliuu
Robben akipiga anakosa leo
Ata Messi Na YEYE akipewa kupiga atawaangusha Argentine!
Tuminye kende wakuu makaburu wakose penalt zote.