World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pengo la Di Maria ni kubwa sana, lakini kwenye kandanda chochote kinaweza kutokea. Nani aliyetarajia jana Brazil ambao hawajafungwa kwao kwa miaka 40 waadhiriwe vile?

Argentina wanastahili kushindwa sio german
 
Usiku Mwema wajameni

Van Gaal na Van Persie wakajiunge na pre season tour Marekani fasta.

Fainali nipo na Mkoloni
 
Kptn.Messiiii nomaaaa umetupoza alafu nasikia Roben katupia la mwisho lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…