World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kikosi cha Ujerumani kipo fit hakuna mchezaji ambaye ni majeruhi na hakuna mchezaji anayekosa mechi ya Fainali
 
:flame:
A%20S-devil4.gif
Kama nilivyosema kuna wingu zito ,ni kweli kabisa yametokea mabadiliko ya ushindi na yote ni lile wingu lililokuwa limefunika .wingu zito jeusi.

Ila wingu kubwa mechi imefunikwa na wingu zito jeusi kwa maana ushindi unaweza kwenda kiccm yaani matokeo kubadilishwa ,ili kuyapa nguvu mashindano na pia kuingiza faida kubwa ,South Amerika against EUROPE
 
Tatizi Argentina hawana kasi!

Kwahiyo Mpira Wa Magerumani hawatoiweza!
 
Van Gaal's #NED side will stay in Brazil until the weekend for Saturday's third-place play-off match against #BRA in Brasilia, KO 21:00 BST.
 
Back
Top Bottom