Nletee mie nimpike
Sipati picha brazil wanajisikiaje huko
pongezi kwa wadutch wamepigana kwa kweli. bahati haikuwa kwao
I officially declare Messi ni mchezaji bora wa dunia
Hahahahaha poleni sana #teamuholanzi .
Ila wingu kubwa mechi imefunikwa na wingu zito jeusi kwa maana ushindi unaweza kwenda kiccm yaani matokeo kubadilishwa ,ili kuyapa nguvu mashindano na pia kuingiza faida kubwa ,South Amerika against EUROPE
Jamani jamani wapi #teamargentina ?? Hureeeeeeeeeeeeeee
Kibs niaje mazee......:biggrin1:
Huyu wa Jumapili tunapo mchapa Mkoloni!Kamkuta kibonde Brazil basi ni shida
hata huyu aliyebaki anajua kudaka, tusimdharau sana.
Hofu yangu ni experience tu kwenye matuta anayo? Ngoja tuone mkuu
adolay pole sana mpz usijali huu ndo mpira.