World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yule Thiago Silva ambaye hakucheza juzi atakuwepo hivyo atapunguza uvujaji wa defence yao. Sijui kama goalie wao baada ya kutundikwa 7 juzi atakuwa tayari kulinda nyavu au atamuachia msaidizi wake.

Unakumbuka fainali za 2002?

Brasil waliifunga Ujerumani 2-0 na kutwaa ubingwa kwa mara ya tano.

Na Brasil ndiyo the most successful country in the history World Cup competition.

Something was wrong with them on Tuesday. They were not themselves at all.
 
Reactions: BAK
Nakubaliana nawe na ndiyo sababu wapenzi wa kandanda ulimwenguni tumepigwa na bumbuwazi ya hali ya juu kuhusu kipigo kile hata Wajerumani badala ya kujipongeza kwa "uchezaji mzuri" sana na kushinda kwa ushindi wa "Tsunami" nao hawaelewi nini kilitokea.

 
Niite vyovyote just naipenda German ndipo niliposoma na kukulia I love German

Sijasoma Ujerumani lakini wamenifurahisha mchezo wao wa juzi, wameonesha kuwa wao wanastahili ubingwa. Wameweka rekodi ya dunia. Brazil hajawahi kuaibishwa nyumbani kwao kama juzi, goli 7 si maskhara ni khatar kubwaa!

Na kwa jinsi walivyowafanya Brazil, hakuna cha kuwazuia kutwaa ubingwa wa dunia safari hii.
 

Halafu, just to put things into proper perspective, Brasil kwenye world cup final games iko 5-2.

Yaani, wameshafika kwenye mchezo wa fainali za kombe la dunia mara saba na wameshinda mara tano kati ya hizo saba na wameshindwa mara mbili tu. Na mara ya mwisho kushinda kombe la dunia ni 2002.

Na kwa fainali tatu mfululizo, 1994, 1998, na 2002 Brasil ilifika hadi fainali. Katika hizo fainali wako 2-1.

Tuje kwa Ujerumani. Kwanza, mara ya mwisho Ujerumani kushinda kombe la dunia ni miaka 24 iliyopita. Yaani mwaka 1990.

Sasa hapo ulipo jiangalie halafu upige mahesabu, wewe ulikuwa na umri gani? Hahahaaaa....

Na mpaka sasa, ukiondoa huu mchezo wa Jumapili, Ujerumani imeshafika kwenye mchezo wa fainali mara saba (7) na wameshinda mara tatu. Imeshindwa mara nne. Yaani iko 3-4.

Wakishinda hii Jumapili watakuwa 4-4. Kwa hiyo, kwa kuangalia tu stats, Ujerumani si kwamba ni timu mbaya, lakini vile vile hawana rekodi ya kutisha kivile.

Italia wameshafikia mchezo wa fainali mara 6 na wameshinda mara nne. A much better record that Germany's.......and those are facts, not fiction.

That's why I'm not yet ready to write off Brasil. Sometimes failure can be the greatest motivator for success......

But we shall see...........
 
Reactions: BAK
You're 100% right we shall see, I agree with you that it is too soon to write them off.

 
Naomba tubet. Argentina bingwa

Hela ya bure hiyo dada tuichukue tukaimalize Bar!Argentina HAWANA Neymar wala Gustavo;Fred wala Bernad ambao ni watu wa mbele wa hovyo hovyo kabisa kupata kuichezea Brazil!!
Germany Jumapili itakutana na Di Maria;Aguero;Enzo Perez;Lavezzi;Higuaini na Massiah Messi ambao individually wanaweza badili matokeo popote pale duniani!
 

Messi na de maria wanashtukizaga magoli usipotegemea subiri German ilizwe
 
Leo nilikuwa Wapi wapi Chang'ombe Bar nasikitika sijakutana hata na mtu mmoja wa Jamiiforums!Kesho nitakuwepo Sisi kwa Sisi Bar pale Mburahati!Wana Jamii njooni tukutane tujadili mpira
 
Hii inaitwa conspiracy theory au kwa kiswahili rahisi UZUSHI.

ina maana data nilizoziweka ni za uongo? Usitumie Source yangu tafuta ya kwako unayoiamini halafu tuletee hapa tuone.
 

unataka fact gani zaidi?
sikuelewi unapinga nini?
Unabishana na records za WC?
Aliyesema diego hana kiwango ni nani?

Ninachopinga mimi ni wewe kumfananisha Messi na Pele na Maradona kwenye mafanikio ya WC. Hayo mengine sijui umeyatoa wapi, hayahusiani na nilichokiandika.
 

Some sole loser you are
Kama ulikua bado unaogeshwa na dada ako mwaka 1990 usifikiri kila unayejadiliana naye humu alikua bado zoba
Kama ulikua bado unaogeshwa mwaka 1990 hata hiyo World Cup ya mwaka 1994 hukuiangalia, huu ushabiki wako wa Brazil na hizi mbwembwe unaandika hapa ni mamluki tu
Hatuhitaji "rekodi ya kutisha kivile" kujua kuwa juzi Brazil walifanywa kitu mbaya na Mkoloni, na wala huhitaji kuwataja the great Italians kutetea team iliyopigwa "week" and you don't real need to write off Brazil because they are OFF already
We don't need to see anything, because we've already seen the Brazilians being ripped to pieces by the great German side on tuesday of 8th July 2014
 
Some sole loser you are

"sole" loser or sore loser? But how so when I just tried to put things into perspective? Got a problem with that?

Kama ulikua bado unaogeshwa na dada ako mwaka 1990 usifikiri kila unayejadiliana naye humu alikua bado zoba

Kashfa na mapovu ya nini tena? Uzoba na mwaka 1990 vina uhusiano gani? Daaaaah tabu tupu!

Kama ulikua bado unaogeshwa mwaka 1990 hata hiyo World Cup ya mwaka 1994 hukuiangalia, huu ushabiki wako wa Brazil na hizi mbwembwe unaandika hapa ni mamluki tu

Tafadhali dada, mimi mwaka 1994 tayari nilikuwa nabeba boksi. Na kwa taarifa yako nilikuwepo pale Rose Bowl, Pasadena kushuhudia akina Romario, Branco, na Dunga wakisababisha ushindi wa Brasil dhidi ya Italia. Mimi siyo katoto kalikozaliwa mwaka 90 au 94.

Tuheshimiane. Sikukuandikia wewe na kama hukupenda nilichoandika basi ungepita tu kuliko kuja na viroja vya kashfa badala ya hoja.

Hatuhitaji "rekodi ya kutisha kivile" kujua kuwa juzi Brazil walifanywa kitu mbaya na Mkoloni,

Hamuhitaji wewe na nani bibie? Maana niliyemjibu kasema anakubaliana na mimi. Sasa wewe tatizo lako nini?

na wala huhitaji kuwataja the great Italians

Welp, nimeshawataja sasa. Utanifanya nini? Fanya kitu basi nione.....

kutetea team iliyopigwa "week" and you don't real need to write off Brazil because they are OFF already

Hakuna nilipowatetea. Una matatizo wewe. Kama wapo "OFF already" kinachokufanya utokwe povu ni nini sasa? Si upotezee tu.....

We don't need to see anything,

Who is "We"? You and who?

because we've already seen the Brazilians being ripped to pieces by the great German side on tuesday of 8th July 2014

Okay then....so what's your problem? Why are you using so much energy dismissing my opinion and foaming at the mouth about something that is basically irrelevant and to quote you, that has been "ripped to pieces"?

Why don't you just keep it movin'?

Unanshangaza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ina maana data nilizoziweka ni za uongo? Usitumie Source yangu tafuta ya kwako unayoiamini halafu tuletee hapa tuone.

Katika Ulimwengu huu wa leo kama bado unaviona vitu/mambo/watu in black and white then you are clearly misinformed, misguided and ignorant, in fact ulichokiandika kinapingana na historia.
Do your homework sonny!
 
kuna yoyote aliona Penalt ya kwanza ya Holland waliokosa ule mpira kipa alivyopanguwa? ulikuwa juu ulivyotua kwenye majani uli spin mpaka golini sasa sijui Kama ulivuka mstari au ulitulia kwenye mstari wakati kipa anashangilia, Mie swali langu Kama mtu kaona tena video atizame youtube je Kama umevuka sheria zinasemaje? Navyojuwa ukigonga mwamba then ukampiga kipa kwenye mgongo ukarudi golini ni goli ila ile inakuwaje?
 
Tupo hapa kujadili soka tu na si vinginevyo!Plese Bwa'Nchuchu na Mourinho turudi kwenye mstari tumalizie sred hii Jimapili kwa amani kama siku zote!!
Team Argentina!!Messi;Aguero;Di Maria na Higuain ni tofauti kabisa na Gustavo;Paulinhno;Fred na Bernard!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…