World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kuna yoyote aliona Penalt ya kwanza ya Holland waliokosa ule mpira kipa alivyopanguwa? ulikuwa juu ulivyotua kwenye majani uli spin mpaka golini sasa sijui Kama ulivuka mstari au ulitulia kwenye mstari wakati kipa anashangilia, Mie swali langu Kama mtu kaona tena video atizame youtube je Kama umevuka sheria zinasemaje? Navyojuwa ukigonga mwamba then ukampiga kipa kwenye mgongo ukarudi golini ni goli ila ile inakuwaje?

Dah! Imebidi niitafute hiyo clip niangalie tena.
Mpira haukuvuka ila uliishia kwenye mstari, kipa wa Argentina alikua busy kushangilia kumbe huku nyuma nusura mpira uvuke mstari na Ron Vlaar alibaki kasimama anauangalia tu hana cha kufanya zaidi ya kuomba uvuke mstari ImageUploadedByJamiiForums1405060081.651175.jpg
Ungevuka lingekua ni goli halali kabisa Mkuu
ImageUploadedByJamiiForums1405059751.314107.jpg
 
Kila la kheri maana Mkoloni ataendeleza kutembeza bakora kwa kina Messi and co

I prefer to differ with you mkuu!Germany itakumbana na fowards za ukweli mno Jumapili,hatakuwepo Bernard wala Fred wala JO siku hiyo bali Aguero na Higuain wanatoka wote wawili anaingia Levezzi na Perezi

Yaani anatoka Nyerere anaingia Jumbe
 
Ila mi nilikuwa naongelea timu za mataifa kwenye euro na world cup

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
I prefer o differ with you mkuu!Germany itakumbana na fowards za ukweli mno Jumapili,hatakuwepo Bernard wala Fred wala JO siku hiyo bali Aguero na Higuain wanatoka wote wawili anaingia Levezzi na Perezi

Yaani anatoka Nyerere anaingia Jumbe

Teh teh teh teh, umenichekesha hapo kwa mchonga na Jumbe
Forwards zenu za ukweli zimefunga magoli mangapi mpaka sasa kwenye hii WC? Ukimuacha Messi kuna hata mwenye goli 2? Tim Cahill na team yake iliyotolewa ya Australia ana goli nyingi kuliko strikers zako hao uliowataja halafu unadhani watamtisha Mkoloni hao butu!
 
All the way!
Romeo atalinda nguzo
Zabaleta,Rojos,Demi na Garay wanaunda ukuta
Macherano,Di Maria,Messi na Biglia wanaunda viungo
Aguero na Higuain wataongoza attack
Baadae strikers zote zinatoka anaingia Perez na Levezzi na Demi atapumzika ataingia Hugo Campagnaro!
Hatumuachi mtu

Demichellis kichochoro cha Man City? Teh teh teh, hapohapo ndio Muller atakua anapitia
Hugo Campagnaro yule mchovu wa Inter? Hiyo team ina wachezaji wawili tu wanaoweza kupata namba kwenye kikosi cha Mkoloni, Mascherano na wonder boy Leo Messi, wengine watakua ball boys!
 
Teh teh teh teh, umenichekesha hapo kwa mchonga na Jumbe
Forwards zenu za ukweli zimefunga magoli mangapi mpaka sasa kwenye hii WC? Ukimuacha Messi kuna hata mwenye goli 2? Tim Cahill na team yake iliyotolewa ya Australia ana goli nyingi kuliko strikers zako hao uliowataja halafu unadhani watamtisha Mkoloni hao butu!

Hiyo ndiyo sifa ya team bora "UNPREDICTABLE"
Messi kaiingiza team round ya pili,then Di Maria akaipelaka robo fainali baadae Higuain akaivusha nusu fainali na jana Romeo kaipeleka fainali!
Kwa trend hiyo basi wala huwezi jua ni nani atalipeleka kombe Bueno Aires Jumapili,yyt hawa jamaa anaweza akawa star mechi hiyo na ndiyo sifa kuu ya team bora
 
You wish
Kweli unajiaminisha kuwa Di Maria ndio kawapeleka Robo fainali na sio Messi?
Sifa ya "unpredictable" hamna, maana ukimkaba Messi tu team inakosa makali kule mbele, Mascherrano alikua anatembea na Roben juzi ili kupunguza makali ya wadutch, sasa sijui kwa Mkoloni atatembea na nani? Ukikamata hao watu wawili tu then Argentina yote inakua Sassuolo
 
France's Pogba na Matuidi waliwazuia akina Kroos wasipige hata moja hadi mkategemea bao la dakika ya 12 la mpira wa kutengwa la Hummels kuwapeleka nusu fainali!!

Kama Pogba na Matuidi waliwanyamazisha ndiyo mtafanya nn sasa kwa Mascherano na Biglia!!Mechi Messi anaimaliza dakika ya 45 hii
 
Mexico na Colombia ndiyo ambao walitakiwa kuitoa Brazil lakini mbereko ziliisaidia sana.

Tena hapo kwa Mexico kisha Colombia hilo jimbeleko lilinipa hasira sana. Kadhalika Uholanzi nao walinikera kutinga nusu fainali kwa uongo wa Roben. Nashukuru wabebwaji wote wametupwa kule wakagombanie makombo ya WC 2014
 
France's Pogba na Matuidi waliwazuia akina Kroos wasipige hata moja hadi mkategemea bao la dakika ya 12 la mpira wa kutengwa la Hummels kuwapeleka nusu fainali!!

Kama Pogba na Matuidi waliwanyamazisha ndiyo mtafanya nn sasa kwa Mascherano na Biglia!!Mechi Messi anaimaliza dakika ya 45 hii

Teh teh teh, hivi hiyo mechi iliishaje Mkuu ambayo Pogba na Matuidi walimnyamazisha Mkoloni?
 
Sababu za wadau wengi sina, ninazo sababu zangu na ziko hivii;
1.Mkoloni ana kitu kinaitwa 'team' inayoanza (1st 11) na inayoanzia bench ni kitu kimoja tofauti na nchi nyingi ambazo zina 'vikosi' tu lakini hakuna 'team' kama wale waliokula wiki
2. Hii team imekaa muda mrefu pamoja na kocha mmoja ingawa kuna some few new additions, hivyo wanajuana na wanauzoefu na mechi kubwa, 2010 walifika 1/2 ya WC kule Bondeni, wakafika tena 1/2 ya Euro mwaka 2012, msimu wa 2012-2013 tumeona all germans final kwenye Champios league na team hizi ziko dominated na wazawa. Kwa kuongezea kikosi hiki cha mkoloni kina wachezaji 6 waliokua pamoja kwenye U-20 na walichukua ubingwa wa ulaya, hivyo inaonesha kiasi gani hawa watu wanajuana
3. Wametoka katika kundi gumu na kuna mechi hawakucheza vizuri sana lakini waliyapata matokeo waliyoyahitaji, kwa maana hiyo hata match ikiwa ngumu bado wanauwezo wa kupata matokeo
4. Hakuna mchezaji pekee anayeibeba wala mwenye presha ya kuibeba Ujerumani tofauti na Argentina ambao kama tulivyoona juzi Vs Holland ukimbana Messi wanashindwa kabisa kufika kwa kipa, ukimkaba Muller yupo Kroos, ukimkaba Kroos yupo Khedira, ukimkaba huyo yupo Ozil, Goetze, Klose n.k

Hii si kweli! Ni timu ya kiwango sawa kabisa na Holland! Waliweza kubanwa na Ghana, walishinda kwa shida goli1 dhidi ya Ufaransa, ushindi ambao ni probable kabisa. Kwa hiyo hao uliowataja ni wachezaji wazuri, lakini wakishinda ni kwa sababu ya mchezo ila hawana ujanja kuwazidi Argentina. Tangu waanze wamefungwa goli4, wenzao Argentina wamefungwa goli 2 tu,
 
Mbona huandikia na magoli ya kufunga? Goal difference? Hii Argentina iliyotolewa kamasi na Iran, Bosnia na Switzerland imsumbue Mkoloni?
Mtaishia tu kuleta hadithi kama za yule baunsa aliyesema wamemnanii kwa shida sana!
 
Mkuu kwani Germany kwa USA,Algeria na France si ulikuwa ushindi wa tia maji tia maji au?Algeria kama sio mfungo wa Ramadhan hata hapa mlipo msingefika mngekuwa zamani sana out!!Ghana kama Jordan Ayew angefuata hata basic za soka tu msinge ingia hata round ya pili!

Mkoloni team ya kawaida kabisa bao 7 za Brazil zisikutishe yyt angemfunga Brazil hizi teams 4 zilizobaki tena bao nyingi tu!!
 
Hii si kweli! Ni timu ya kiwango sawa kabisa na Holland! Waliweza kubanwa na Ghana, walishinda kwa shida goli1 dhidi ya Ufaransa, ushindi ambao ni probable kabisa. Kwa hiyo hao uliowataja ni wachezaji wazuri, lakini wakishinda ni kwa sababu ya mchezo ila hawana ujanja kuwazidi Argentina. Tangu waanze wamefungwa goli4, wenzao Argentina wamefungwa goli 2 tu,

Hii ni team ya kawaida tu,Germany hawana mbinu mbadala ukiwakaba hawawezi badilika!Algeria kama sio Ramadhan waliwaondoa Germany easily kabisa!Na France madudu matupu wlaicheza!!

Bao 7 za Brazil zimewaogopesha wengi lkn Brazil hata na Argentina au Holland angefungwa labda hata zaidi ya 7!Brazil unamtegemea Fred na Bernard akupe kombe la dunia?Are these people serious?Mido zako ni Gustavo na Paulihno?This is more than a joke jamani!!
 
Mbona huandikia na magoli ya kufunga? Goal difference? Hii Argentina iliyotolewa kamasi na Iran, Bosnia na Switzerland imsumbue Mkoloni?
Mtaishia tu kuleta hadithi kama za yule baunsa aliyesema wamemnanii kwa shida sana!

Magoli ya kufunga yapi? Ile volleyball? Magoli ya kufunga ukiondoa volleyball waliifunga France1-0, Ghana Draw 2-2 , Algeria 2-1, na 1-0 US, bila kusahau Volley ball 7-1! Ukiondoa Basketball, wameshinda goli6.Argentina Goli5 ukiondoa penalty zile: 1-0 na Iran, 3-2 na Nigeria,1-0 na Uswis( bonge la game hii), na 1-0 na Ubelgiji( nayo ni bonge la game)! Hivyo Ujerumani ni ya kawaida sana!
 
Back
Top Bottom