World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hii ni team ya kawaida tu,Germany hawana mbinu mbadala ukiwakaba hawawezi badilika!Algeria kama sio Ramadhan waliwaondoa Germany easily kabisa!Na France madudu matupu wlaicheza!!

Bao 7 za Brazil zimewaogopesha wengi lkn Brazil hata na Argentina au Holland angefungwa labda hata zaidi ya 7!Brazil unamtegemea Fred na Bernard akupe kombe la dunia?Are these people serious?Mido zako ni Gustavo na Paulihno?This is more than a joke jamani!!

Brasil walifungwa vile kwa sababu walisalimu amri mapema mno na wakaacha kucheza.

Na Jumapili hakutakuwa na bonanza ya magoli kama ilivyokuwa kwenye hiyo nusu fainali.
 
Walikua na uwezo wa kushinda hata goli 12 ile match ila wakaamua tu kuwastahi wenyeji.
Mpira mipango, pesa na maandalizi Mkuu, hizo story za mungu danganya toto, or else angewapa ubingwa wenyeji
Halafu hivi kweli shabiki na mpenzi nguli wa Brazil anaweza kuishabikia Argentina? Hizi si kama Yanga/Simba, R.Madrid/ Barca, Man Utd/Liverpool au Fenerbache/Galatasaray?

Ni vigumu sana kwa shabiki wa Brazil kuishangilia Argentina kama ilivyo vigumu kwa shabiki wa Yanga kuishabikia Simba; hata hivyo zipo nyakati ambapo mashabiki wa Yanga waliishangilia Simba na zipo nyakati mashabiki wa Simba waliishangilia Yanga. Vivyo hivyo kwa kile Wajerumani walichowafanyia Wabrazil hakuna shaka hao Wabrazil wataishagilia Argentina, Mbrazil wa kwanza kuishagilia Argentina ni Neymar Jr, kong'oli hapa ujionee mwenyewe anachotaka kitokee:

http://www.fifa.com/worldcup/2403349.html
 
Mkuu kwani Germany kwa USA,Algeria na France si ulikuwa ushindi wa tia maji tia maji au?Algeria kama sio mfungo wa Ramadhan hata hapa mlipo msingefika mngekuwa zamani sana out!!Ghana kama Jordan Ayew angefuata hata basic za soka tu msinge ingia hata round ya pili!

Mkoloni team ya kawaida kabisa bao 7 za Brazil zisikutishe yyt angemfunga Brazil hizi teams 4 zilizobaki tena bao nyingi tu!!

Hapa hatutaweza kufikia muafaka ila naona mnaandaa mazingira ya kujifariji siku ya jumapili baada ya kutandikwa bakora na mkoloni, huo unaouita ushindi wa tia maji tia maji kwanini wengine walishindwa kuupata?
Kazi ya kumtandika Argentina inazidi kuwa nyepesi kila siku, soma hii

Lionel Messi is underperforming at the World Cup because he is so tired, according to his father Jorge.

“He is exhausted and feels as if his legs weigh 100 kilos each,” said Messi Sr.

His words will not reassure Argentina fans who will be hoping for a dazzling display from their talismanic playmaker in Sunday's World Cup final against Germany.
 
Brazil hawawez kupata hata mshindi wa tatu

Mi nadhani wataupata huo. Wana usongo walau wa kuyamaliza mashindano on a high note.

Wadachi hawana motivation yoyote na hiyo mechi kwa sababu haina maana yoyote kwao.

Sitegemei nyota wao wacheze.
 
KOMBE LA DUNIA 2014: Nyota wa Brazil Neymar amemtaka Lionel Messi kuiongoza Argentina kuifunga Ujerumani katika mchezo wa fainali Jumapili na kutwaa ubingwa.
 
KOMBE LA DUNIA 2014: Nyota wa Brazil Neymar amemtaka Lionel Messi kuiongoza Argentina kuifunga Ujerumani katika mchezo wa fainali Jumapili na kutwaa ubingwa.

Achana nae huyo, hata kuku humuombeaga mwewe majanga!!
 
Nadhani Brazil wana kinyongo na Ujeruman kipigo cha goli 7 si mchezo lazima mtu upate wazimu.
 
Argentina ndo bingwa wa kombe la dunia 2014


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
i wish Argentina to grab this cup, but over Germany is impossible to possibolise..... jah ah a
 
Hivi unafahamu forwardline isipomiliki mpira defence inakuwa na mzigo mara mbili?sasa jumlisha hilo na style ya Brazil ambao hulinda goli kwa kushambulia,inapotokea hawawezi kushambulia,basi na kulinda pia inakuwa hivyo.hii zahma ya jana iliwakuta na France,Ronaldo akiwemo,forwardline ilikufa,balaa likawakuta kutoka kwa Zizzou and co kule nyuma.ilikuwa hivi hivi,kasoro tu jana defence yao ilikuwa mbovu kupitiliza na magoli yakawa mengi,lakini ukitazama,tatizo kuu lilikuwa kumanage mfumo wa kupeleka attacks,mbele walishindwa,wakawa frustrated na goli la mapema.hivi Neymar awekwe na akina Fred,hulk na vile vimeo vyao unategemea nini?brazil ilikufa ilipochaguliwa,hata Neymar hawezi kuiokoa,hata Messi au De lima wangewekwa na kikosi hiki wasingebadili matokeo.Neymar mnamuonea bure jamani!
Hata Neymar angekuwepo hakuna kitu sanasana angeambulia kadi nyekundu huyo bishororo wa Sao Paulo
 
Messi will grab this statuette and prove the world that he's the best athlet of all time...
 
Hata Neymar angekuwepo hakuna kitu sanasana angeambulia kadi nyekundu huyo bishororo wa Sao Paulo

Walishindwa si kwa sababu Neymar hakuwepo.

Walishindwa kwa sababu waliacha kucheza mpira na wakawa wanarukaruka tu.

Hakuna timu inayoweza kushinda ikicheza kama ilivyocheza Brasil siku ile.
 
Back
Top Bottom