Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brasil handed Germany the win.
Let's wait for the final.
Hivi fainali zilizopita Ujerumani waliwafunga Argentina bao ngapi?
Njoo huku Banana na mbuzi katoliki ipo.Fainal haitabilikiNjooni Bar wadau tujadili soka!Nipo hapa Tabata Kisukuru bar inaitwa Umoja!
Wana JF wa Tabataaaaaaa mpoooo!!
Njooni Bar wadau tujadili soka!Nipo hapa Tabata Kisukuru bar inaitwa Umoja!
Wana JF wa Tabataaaaaaa mpoooo!!
Kuna football critic namuamini sana kataja Argentina kushinda...
Wanna bet.....?
KOMBE LA DUNIA 2014: Nyota wa Brazil Neymar amemtaka Lionel Messi kuiongoza Argentina kuifunga Ujerumani katika mchezo wa fainali Jumapili na kutwaa ubingwa.
Hahaaaa...not sure now...mimi naipa ujerumani but huyu football critic hajawahi kukosea...I wonder..
British...game zote hata Argentina na Holand alisema Holand hashindi...Ni mbongo?
Nini vingine alivyowahi kupatia?
Sio utani mechi kati ya Deutscheland na Brasil iliuma mno mno mpaka nikazima TV baada ya goli la tano kufungwa. Tokea kuanza mechi hizo sijapata kufedheheka kaisi hicho hata zile mechi za wasakatonge wa Cameroon sikujisikia vibaya vile. Je wewe mwenzangu ni mechi gani iliyokupelekea kuzima TV kabla haijaisha sababu ya timu uipendayo kupoteza tumaini la ushindi?
labda kuna kitu anakiwaza au anatafuta uniquenessKuna football critic namuamini sana kataja Argentina kushinda...
Njoo huku Banana na mbuzi katoliki ipo.Fainal haitabiliki
mimi naona kati yao wote tu wana nafasi ya kuchukua kombe,atakaeshinda ndo huyo huyomkoloni ana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa
Hiyo ndiyo sifa ya team bora "UNPREDICTABLE"
Messi kaiingiza team round ya pili,then Di Maria akaipelaka robo fainali baadae Higuain akaivusha nusu fainali na jana Romeo kaipeleka fainali!
Kwa trend hiyo basi wala huwezi jua ni nani atalipeleka kombe Bueno Aires Jumapili,yyt hawa jamaa anaweza akawa star mechi hiyo na ndiyo sifa kuu ya team bora
British...game zote hata Argentina na Holand alisema Holand hashindi...