World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Munich Beerfest sept 20-5 Oct comes a bit early this year....begins 13 July after the win against team messi...Go Germany!
 
Neymar+Shines+as+Brazil+beat+Cameroon.jpg
 
Saa 4 usiku kwa saa za Dar

Kwa mujibu wa ratiba toka Brazil muda wa mechi ya Brazil na Holand inaanza saa 5 kamili usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki ikiwemo na Tanzania hususani mkoa wa Dar es Salaam.
 
Wadau habari zenu? Habari za siku mbili tatu? Mimi Argentina damu damu lakini nawatakia Brazil kila la heri washinde mechi ya leo.watulize akili zao wacheze kwa nguvu na akili pia angalau wawafariji wabrazil na ushndi wa tatu.
 
Kwa mujibu wa ratiba toka Brazil muda wa mechi ya Brazil na Holand inaanza saa 5 kamili usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki ikiwemo na Tanzania hususani mkoa wa Dar es Salaam.

Mkuu huo ni muda wa kick off!Lkn wanatuungnisha saa 1 kabla ya game
Kesho kick off ni saa 4 usiku lkn watauunganisha kuanzia saa 3 usiku
sorry for any inconv wapendwa
 
Ndiyo naondoka bar kuelekea home Ukonga tayari kuangalia Brazil akijitahidi!!Nasikitika kwa siku zote hizi 3 kwenye bar tofauti sikuweza kuonana na wadau
Lkn Dar watu wanapenda sana,kila bar nilipata marafiki wa kutosha tukaka chini tukajadili soka!
Team Argentina
 
Last edited by a moderator:
niwasalimuni wote hapa jukwaani. Sijui leo nishabikie timu gani.. naomba nichagulieni tafadhali
 
niwasalimuni wote hapa jukwaani. Sijui leo nishabikie timu gani.. naomba nichagulieni tafadhali

haa haa ntakushangaa sana ukishabikia ile timu iliyopigwa kitu cha wiki...karibu holland
 
Back
Top Bottom