World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Vipi Webb atachezesha fainal,naona mu Algeria wetu anachezesha hii ya Brazil vs Holland
 
_76226633_023131230-1.jpg

Hahahaha hawa wapo deeply in love
 
Mshangao sawa, lakini wa aina gani? Positive or negative?

Inategemea....maana kama wakiingia overconfident wakitegemea watapata ushindi wa ajabu kama walioupata siku ile inaweza ikala kwao...

Unatia moyo au unakatisha tamaa...hiyo ndiyo tofauti kati ya Germany na Brazil!

Of course ushindi wa Ujerumani haukatishi tamaa ila unaweza ukawafanya wawe complacent na overconfident....
 
Kilichotokea Jumanne hakitatokea tena.

Unless waache tena kucheza kama walivyoacha kucheza siku ile.

Timu yoyote inayoacha kucheza kwenye mchezo wa ushindani hushindwa vibaya.

Na baada ya kuadhirishwa siku ile, sidhani kama wako tayari kuadhirishwa tena.

I am telling you that loss will bring the best out of Brasil in the future.

Russia 2018 is our year.

Mkuu hawa Brazil wameshakariri ushindi wao upo chini ya Neymar. Na leo Neymar hayopo! Sijui itakuaje hapo! What do you think?
 
Mkuu hawa Brazil wameshakariri ushindi wao upo chini ya Neymar. Na leo Neymar hayopo! Sijui itakuaje hapo! What do you think?

Hata wakishindwa itakuwa si kwa goli saba na hawatapigwa goli nne ndani ya dakika sita!

Nani huwa anapigwa goli nne ndani ya dakika sita?
 
Back
Top Bottom