Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
kuna yoyote aliona Penalt ya kwanza ya Holland waliokosa ule mpira kipa alivyopanguwa? ulikuwa juu ulivyotua kwenye majani uli spin mpaka golini sasa sijui Kama ulivuka mstari au ulitulia kwenye mstari wakati kipa anashangilia, Mie swali langu Kama mtu kaona tena video atizame youtube je Kama umevuka sheria zinasemaje? Navyojuwa ukigonga mwamba then ukampiga kipa kwenye mgongo ukarudi golini ni goli ila ile inakuwaje?
Dah! Imebidi niitafute hiyo clip niangalie tena.
Mpira haukuvuka ila uliishia kwenye mstari, kipa wa Argentina alikua busy kushangilia kumbe huku nyuma nusura mpira uvuke mstari na Ron Vlaar alibaki kasimama anauangalia tu hana cha kufanya zaidi ya kuomba uvuke mstari

Ungevuka lingekua ni goli halali kabisa Mkuu
