World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil wanabebwa wazi wazi!Kama umefanya faulu kuzuia mtu mwingine asifunge/kama unakuwa mtu wa mwisho na unafanya faulo ili mwingine asifunge/Kaama usingefanya faulo mpinzani angefunga/kama baada ya ww mpinzani anaenda kumuona kipa wenu na kufunga_ADHABU yake ni KADI NYEKUNDU na tuta!!

Silva ilikuwa ale kadi nyekundu
 
Refa kafanya 2 mistakes in 1. Haikuwa penalty na Ilikuwa red. Tutarajie either Brazil kukosa nafasi ya 2018 Urusi au kurudi na timu kali pia kubeba kombe Urusi . Time will tell.

siku hizi ni hivi kama ni mchezaji wa mwisho na ni ndani ya 18 unatoa penati na yellow na kama ni nje ya 18 ni straight RED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…