World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Refa kafanya 2 mistakes in 1. Haikuwa penalty na Ilikuwa red. Tutarajie either Brazil kukosa nafasi ya 2018 Urusi au kurudi na timu kali pia kubeba kombe Urusi . Time will tell.

Bora alivyofanya imagine Silva angepewa red card then akaingia Dante wangefungwa saba nyingine
 
Ilitokea nje ya box mkuu just watch replays ... ... .

Mkuu kama ni nje ya box penati imetokea wapi, mimi ninavyoelewa ukimchezea rafu mchezaji wa mwisho (aneenda kufunga) ni red card.!
 
mechi vs Germany magoli mengi yalitokea upande wa Marcelo leo naona bado kuna bonge la uchochoro upande huo huo ingawaje Marcelo hayupo uwanjani wala benchini
 
hizi timu timu wangekutana nazo mwanzoni wasingefika hata 16 bora, hapo walipofika walikuwa wanatembelea nyota ya neymar
 
Sitarajii kabisa kuona hawa wachezaji 2018.

Baada ya haya mashindano hii timu itavunjwa kabisa na kuundwa upya.

Mkuu lkn mbona leo Silva yupolkn bado madudu?Team hii niliishtukia siku ya kwanza na Croatia kama wanatumia sana hamasa ya host kuliko utaalam
 
Mkuu lkn mbona leo Silva yupolkn bado madudu?Team hii niliishtukia siku ya kwanza na Croatia kama wanatumia sana hamasa ya host kuliko utaalam

Kwani tatizo lilikuwa ni kukosekana kwa Thiago Silva...? Sidhani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…