Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Sasa PSG walitoaje £50 Mil.? Kwa chizi kama huyu Luiz?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanawashwa hela ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa PSG walitoaje £50 Mil.? Kwa chizi kama huyu Luiz?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Refa kafanya 2 mistakes in 1. Haikuwa penalty na Ilikuwa red. Tutarajie either Brazil kukosa nafasi ya 2018 Urusi au kurudi na timu kali pia kubeba kombe Urusi . Time will tell.
Ilitokea nje ya box mkuu just watch replays ... ... .
habari zenu bana......
Sitarajii kabisa kuona hawa wachezaji 2018.
Baada ya haya mashindano hii timu itavunjwa kabisa na kuundwa upya.
Sitarajii kabisa kuona hawa wachezaji 2018.
Baada ya haya mashindano hii timu itavunjwa kabisa na kuundwa upya.
Kama unashabikia hapa, wahi kitandani
Ilitokea nje ya box mkuu just watch replays ... ... .
Mkuu lkn mbona leo Silva yupolkn bado madudu?Team hii niliishtukia siku ya kwanza na Croatia kama wanatumia sana hamasa ya host kuliko utaalam
Kuna watu wanawashwa hela ujue
Dante,Marcelo,Fernandinho,Hulk,Fred,Benard wote benchi leoKwa nini Bernard hajaanza leo?