World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

wapigwe tu hawa bazil ili wajue tu kwamba timu yao ni mbovu
 
Yaani wanajidondosha ovyo ovyo kweli!
Tuwasubiri warudi waongezewe 2!

Leo sidhani kama kutakuwa na saba ingawa dalili za kuchezea kichapo zipo!

Wadachi wanaweza wakaongeza mengine mawili ikawa 4-0.

Hiyo haitakuwa mbaya sana. Kwanza tutakuwa tumejitahidi sana tukipigwa hizo nne bila.
 
Wasipokuwa makini wanaweza kupigwa tano nyingine au hata zaidi na hivyo kuongeza huzuni zaidi kwa wapenzi na washabiki wa #TeamBrazil
 
Luiz angetuliza mpira ule angeondoka nao,yy kamtengea mtu daaah
Silva HANA kasi kama ya Mascherano na Garay
Brazil team mbovu mno
 
Anyone wondering why Mourinho sold David Luiz before the World Cup, now you've got the answer. Kid is overrated.
 
Kesho naamka asubuhi naenda Mwananyamala kwa Bi Nyau najumuika na wadau kuona soka huku tunatafuna"mdudu"!Njooni wadau tuage WC
 
Samahani kama kawaida yetu, kesho wale timu Argentina tujuane mapema tutege makombola yetu ya kuviangusha vijukuu ya ADOLF HITLER...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…