Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa wala si swaumu hiyo.
Bado wana kiwewe cha 7-1.
Kitapoa tu with the passage of time.
Hawa Brazil wamefunga swaumu au?
Ataingia nini kipindi ha pili?
Yaani wanajidondosha ovyo ovyo kweli!
Tuwasubiri warudi waongezewe 2!
Wana mchemcheto HOE, wanaudhi sana.
Even a blind man can score against Brazil
Goli saba si mchezo Mkuu bado hawajitambui.
Nimeshakununulia diripu 2! Ukijiskia kidhungu dhungu nidip!
na wale kwenye kundi la kina pogba,nani kashinda?
huyu coach nilijua baada ya 7 -1 angeondoka bado akawepo.