Kwetu ni kwetu hata kama ni chini ya mti. Iko siku nasi tutakuwa kidedea
confirmed: Roben nominated as the best prayer of the tournament
Mashaalllaah!
Nyapu za Kidachi. Akili junguluka kabisa.
uishe tu aondoke..
kuna mchambuzi mmoja TBC huwa ananichekesha sana halafu nahisi ni teambrazil
siku ya leo mh! Majanga
nilitegemea nivune pay kwa brazil lakin napo majanga hii timu sasa aizaminiki kabisa hivi kutocheza straika neyma iwe sababu aghhì
Dah! Wanamacho mazuri kweli! Kama vampire vile!
uishe tu aondoke..
kuna mchambuzi mmoja TBC huwa ananichekesha sana halafu nahisi ni teambrazil
usikate tamaa watashinda 3-2
Kwa Brazil kushika nafasi ya 3 sio priority wamekwisha kuwa mabingwa wa hili kombe. Wadachi hawajaweza kuchukua hili kombe walibahatika tu kuingia fainali kule SA hivyo mechi ya leo walipania ilivyo. Brazil sio big deal kwa sababu walikuwa wanataka kushinda kombe sio nafasi nyingine ... ..
haa haa alisema hatakaa aishabikie brazil tena hadi anaingia kaburini....chezea saba wewe
Kumbe una ugonjwa wa kuhusudisha macho mazuri eeh!!!! haya banaaa...ππ
usikate tamaa watashinda 3-2
atafunga jo na hernanes?yatakuwa maajabu ya 9 ya dunia naapia maulana