World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mashaalllaah!
Nyapu za Kidachi. Akili junguluka kabisa.
BsX2ZKtCEAAVWP5.jpg:large
 
Kwetu ni kwetu hata kama ni chini ya mti. Iko siku nasi tutakuwa kidedea

Kweli nyumbani ni nyumbani lakini ikija kwenye soka sitaki kusikia hizo habari.

Wewe endelea tu kuwa na false hope.

Mi nabakia na Brasil yangu, through thick and thin.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeupenda uteuzi wao, yule Di Maria kama sikuumia angewapa wateuzi kazi kubwa sana ya kuteua kati yake na Robben.

confirmed: Roben nominated as the best prayer of the tournament
 
Siku ya leo mh! Majanga
nilitegemea nivune pay kwa brazil lakin napo majanga hii timu sasa aizaminiki kabisa hivi kutocheza straika neyma iwe sababu aghhì
 
Kuna wadau hapa mlikuwa mnaulizia ni kwanini refa hajampa silva kadi nyekundi. Nimeangalia sheria namba 12 ya fifa kuhusu faulo toleo la 2014 ambalo ndiyo linatumika katika mashindano haya (angalia link hapo chini ukurasa 118) . Ni hivi katika kosa la kumshika mchezaji anayekwenda kufunga refa anatakiwa kutoa penati na kadi ya njano na siyo nyekundu.

Nanukuu

"award a direct free kick or penalty kick and caution the player if it happens once the ball is in play"

mwisho wa kunukuu


http://www.fifa.com/mm/document/foo...7_06_2014_new--lawsofthegameweben_neutral.pdf
 
Kwa Brazil kushika nafasi ya 3 sio priority wamekwisha kuwa mabingwa wa hili kombe. Wadachi hawajaweza kuchukua hili kombe walibahatika tu kuingia fainali kule SA hivyo mechi ya leo walipania ilivyo. Brazil sio big deal kwa sababu walikuwa wanataka kushinda kombe sio nafasi nyingine ... ..

Brazil wamepata aibu ambayo hawajawahi ipata kamwe na huenda wasiipate,Kumbuka wao ndio wameandaa haya mashindano na walikuwa wanapewa nafasi kuchukua ubingwa tofauti na Holland ambao hawakutegemewa hata kupita kwenye makundi
 
Back
Top Bottom