Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
nimeghairi...
Ulinkafu nkamu gwangu? Muasisi wa tekiniki mpya nakutegemea kesho tubebe ndoo.
hivi maumivu mmeyazoea au?
Argentina fulu raha! No kujikera! Karib sana!
ndo basi tena sasa tutawasaidiajehuruma sana
Unaogopa kubet..? We timu yako si Ujerumani?
Ahahaha ndipo kalumbu!
Ile tekiniki naanza nayo kesho dakika ya kwanza ingawaje baada ya mpira kuisha maumivu makali sana nayapata lkn kwa Argentina nita sacrifice
mie mkolon damu. timu za kutiana presha wala sizitaki
Dakika ndio zinamaliza hivyo!
Na kibanda ndio kinateketea na moto!
hivi maumivu mmeyazoea au?
Ah wapi! Ni mapenzi tu
Brazil kama Africa tu wakifika golini.
siogopi..wadada hawaaminiki sana..wana disappear...still ujerumani naamini watashinda...