everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
nina ice cream lita moja nzima for you....fanya namna nikupatie..
Mpaka nikubembeleze hivi? Kesho omba Arg tushinde ntakuja kukufanyia ile mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina ice cream lita moja nzima for you....fanya namna nikupatie..
izo 3 jumlisha na 3 zengine ndio kichapo atakachokula mjerumani!
Khaa! Wewe Mjerumani???
Kesho mtatukoma!
Aibu ipi? Kuwa timu bora ni lazima ufungwe na hii sio mara ya kwanza kwa Brazil kutokuchukua kombe ingawa wao ndio waandaaji. Kuna nchi nyingi tu waliandaa na hawakuchukua ubingwa. Wadachi bado hawajachukua hiki kikombe ndio sababu wanawewesekaweweseka na nafasi ya tatu. BTW Brazil hata mazoezi hawakufanya wao mashindano yaliisha baada ya kugalagazwa na GERMANY. Thats the only position wadachi watashika lakini Brazil ni wawaniaji wa kombe.
Failed!
You can do the same with our African Teams.
Tuwekee rekodi ya Zaire ... .... .... ... .
Brasil wanahitaji bona fide goal scorers kama Romario na Ronaldo. Wanahitaji tena winga kama Bebeto.
Bado ninawaaminia sana. Sija give up kabisa kwa sababu tima and time again wamesha-deliver.
Mwaka huu hawakuwa na timu nzuri kabisa.
Brasil wanahitaji bona fide goal scorers kama Romario na Ronaldo. Wanahitaji tena winga kama Bebeto.
Bado ninawaaminia sana. Sija give up kabisa kwa sababu tima and time again wamesha-deliver.
Mwaka huu hawakuwa na timu nzuri kabisa.
You can do the same with our African Teams.
Ningeshangaa sana kama matokeo yangekuwa tofauti...shoti ya umeme halafu uzinduke mapema hivi! Hata hilo haliwezekani, labda umeme wa Muhongo!
Mpaka nikubembeleze hivi? Kesho omba Arg tushinde ntakuja kukufanyia ile mambo.
We do not know how to play soccer in Africa,sisi ni sawa na wanyama-mwitu