Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
huu uzi watu tumejizoelea aman na upendo matusi sijui yanatokea wapi tenajamani mbona matusi tena... kunani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu uzi watu tumejizoelea aman na upendo matusi sijui yanatokea wapi tenajamani mbona matusi tena... kunani
ndio walijenga nyumba ya baba Riz leo tupo nao pamoja
whaaao that is ma boyyy....Leo niko na furaha ya kuona Mkoloni akichukua kombe kwa kutandaza kandanda safi, hakuna kitakacho nidistract.
#TeamGermany #TeamMkoloni
"Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji"
huu uzi watu tumejizoelea aman na upendo matusi sijui yanatokea wapi tena
Invisible njoo huku uukoe jahazi maana ni matusi
Kaka, siku ile wakati kanianza na matusi yake mbona hukumuonya? Au matusi ni matusi yakitoka kwangu tu?
Bwa'Nchuchu na @Mounrinho nawaheshimu wakuu mnakoelekea siko kabisa naomba muishie hapa ili tuendelee kufurahia hii World Cup Final ambayo inaanza hivi karibuni.
nilihisi nimekosea siredi mwenzio.....
naelekea eneo la tukio nini kinaendeea
Mimi nimefanya nini Mkuu?
Mimi nimefanya nini Mkuu?
Leo mtatukoma!
Mimi nimefanya nini Mkuu?